Posted on: April 27th, 2024
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Abubakar Kunenge amelitaka jeshi la Polisi Wilayani Bagamoyo kumchukulia hatua za kisheria Hassan Usinga "Wembe" kwa tuhuma za kumdhalilisha aliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Bag...
Posted on: April 25th, 2024
Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) imetoa kiasi cha Sh. milioni 20 kwa ajili ya kusaidia kutatua Changamoto za wahanga wa mafuriko yaliyotokea katika Wilaya ya Kibiti na Rufiji Mkoani Pwani.
...
Posted on: April 25th, 2024
Mkoa wa Pwani umelazimika kubadili baadhi ya miradi itakayopitiwa na kukaguliwa na Mwenge wa Uhuru kutokana na changamoto ya mvua zinazoendelea kunyesha na kusababisha mafuriko kwenye baadhi ya maeneo...