Posted on: January 6th, 2023
Kiwango Cha ufaulu kwa mwaka 2022 kimeshuka Mkoani Pwan, kwa asilimia 1.174 ukilinganisha na matokeo ya mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi mwaka 2021.
Akizungumzia taarifa ya tathmini ya matokeo h...
Posted on: January 5th, 2023
Mkuu wa mkoa wa Pwani, alhaj Abubakari Kunenge amezitaka Halmashauri na Taasisi za Serikali kuhakikisha zinaongeza mapato pamoja na kuibua vyanzo vipya vya mapato ili kuinua uchumi wa Mkoa.
Aidha a...
Posted on: January 5th, 2023
Ofisa Mipango na Uratibu Mkoani Pwani,Rukia Muwango ameeleza Mwaka wa fedha 2022/2023 mkoa huo umeidhinisha bajeti ya Bilioni 335.110.456.0 kati ya hizo ruzuku ya matumizi ya kawaida ni Bilioni 206.06...