Posted on: August 28th, 2019
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist ndikilo amehitimisha ziara yake ya Awamu ya Kwanza ya uwekaji mawe ya msingi kwenye viwanda tarehe 27 Agosti 2019.
Akiwa kwenye ziara yake hiyo Mhandisi...
Posted on: August 22nd, 2019
Mkoa wa Pwani ni miongoni mwa Mikoa nchini, yenye idadi kubwa ya wagonjwa wenye vikope(Trachoma) huku wilaya inayoongoza ikiwa ni Mkuranga yenye wagonjwa hao 1,041,wilaya ya Rufiji 191,Kisarawe 243 na...
Posted on: August 19th, 2019
Serikali Mkoani Pwani imewaagiza maafisa tarafa wote kutimiza majukumu yao bila uzembe na badala yake wahakikishe wanashughulikia migogoro ya ardhi ambayo inawakabili kwa kiasi kikubwa jamii ya wafuga...