Posted on: March 20th, 2020
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo, amesema kuwa Mkoa wa Pwani umeunda kamati mbalimbali kwa ajili ya tahadhari dhidi ya Virusi vya Corona katika Halmashauri zote tisa.
...
Posted on: March 17th, 2020
MKuu wa Mkoa wa Pwani, Mhe. Mhandisi Evarist Ndikilo amewataka wakazi wanaoishi maeneo ya mabondeni ambayo yana athari kubwa kwa mvua ,huko Muhoro na Chumbi ,Wilayani Rufiji kuhamia maeneo ya yaliyo s...
Posted on: March 11th, 2020
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Selemani Jafo,amewatahadharisha Wakuu wa Mikoa nchini ambao watawasilisha bajeti zao bila kutenga asilimia 10 kwa mujibu wa...