Posted on: May 12th, 2020
Katibu Tawala Mkoa Pwani Dkt Delphine Magere amewaatka watumishi wote wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani kufanya kazi kwa weledi mkubwa huku wakizingatia kanuni sheria na Taratibu za utumishi wa umma.
...
Posted on: May 6th, 2020
Chama Cha Walimu Tanzania(CWT) kimetoa msaada wa fedha taslimu Shilingi milioni tatu 3,000,000/= kwa ajili ya ukarabati wa miundombinu ya walimu iliyoathiriwa na mafuriko kwenye Wilaya za Kibiti na Ru...
Posted on: April 29th, 2020
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mheshimiwa Evarist Ndikilo amepokea vifaa Maalumu vya kunawia mikono kutoka Shirika la Nyumbu Kibaha (Tanzania Automotive Technology Center- TACT) ikiwa ni jitihada za Mkoa za ku...