Posted on: February 12th, 2024
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Abubakar Kunenge amezisisitiza timu za Menejimenti za Halmashauri katika mkoa huo kusimamia ukusanyaji wa mapato kwa jithidada kubwa na kudhibiti mianya ya upotevu ili kuiwezesha...
Posted on: February 2nd, 2024
Mkuu wa mkoa wa Pwani Mhe Abubakar Kunenge amewataka wananchi wote Mkoani hapa kuheshimu na kuzingatia sheria za nchi zilizoweka.
Pia ameiomba Mahakama na watoa maamuzi kutoa maamuzi kwa kuzingatia...
Posted on: January 28th, 2024
WAZIRI wa Maji Jumaa Aweso amezielekeza Jumuiya za maji kuzingatia utaratibu wa kupeleka fedha benki ambao utasaidia miradi hiyo kuwa endelevu.
Ameyasema hayo alipokuwa akizindua mradi wa maji kati...