Posted on: April 16th, 2021
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo amewataka Wanachi Mkoani wa Pwani kupanda Miti kwa wingi nakuacha kukata miti ovyo ili kutunza Misitu ya asili.
Rai hiyo ameitoa leo...
Posted on: April 15th, 2021
Serikali Mkoani Pwani kwa kushirikiana na wadau mbali mbali wa zao la Mhogo wameazimia kwa pamoja kujenga ujenzi wa kiwanda kikubwa kwa ajili ya kuchakata zao la Muhugo ambacho kitajengwa katika...
Posted on: April 14th, 2021
Waganga Wakuu wa Wilaya Mkoa wa Pwani watakiwa kuhakisha Zahanati na Vituo vyote vya Afya vinakuwa wazi masaa yote, siku Saba katika juma hasa Vijijini penye wananchi Wengi ili kuhudumia Wanachi.
R...