Posted on: May 15th, 2020
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa amesema ameridhishwa na kazi ya ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) kutoka Dar es Salam Morogoro ambayo imefikia asilimia 77.91.
Majaliwa a...
Posted on: May 13th, 2020
Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Zainabu Kawawa amesema, ataendelea kuwa mkali kwa mtumishi ambaye atakuwa mzembe katika suala la ukusanyaji na udhubiti wa mapato katika Halmashauri ya Chalinze.
Ka...
Posted on: May 12th, 2020
Katibu Tawala Mkoa wa Pwani Dkt Delphine Magere amewaomba wadau mbalimbali kujitokeza kusaidia mapambano dhidi ya ugonjwa wa Covid-19 hasa katika kituo cha matibabu Wagonjwa wa virusi Corona cha...