Posted on: February 16th, 2019
Jumla ya kilo 5,623,277 za korosho zenye thamani ya zaidi ya shilingi bilion 16. 324 tayari zimelipwa kwa wakulima Mkoani Pwani.
Aidha Wakulima wa Korosho 24,543, wenye kilo 14,370,844 ...
Posted on: February 15th, 2019
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe. Mhandisi Evarist Ndikilo, amewataka wananchi wa Mkoa huo kuacha mara moja tabia ya kuwapokea na kuwahifadhi wageni wasiowajua.
Pia amewataka wananchi hao kuwa waangalifu ...
Posted on: February 13th, 2019
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe. Mhandisi Evarist Ndikilo, ameupongeza mfuko wa kusaidia jamii TASAF kwa kuweza kuwawezesha wananchi wa Mafia ambao waliokuwa wakiishi katika mazingira magumu.
Hayo ameyas...