Posted on: January 1st, 2024
Katibu Tawala Mkoa wa Pwani, Rashid Mchatta ametoa rai kwa watumishi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa huo, kufanya kazi kwa uadilifu pamoja na kuzingatia sheria na taratibu za utumishi wa umma ili kuleta tija...
Posted on: December 28th, 2023
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, alhaj Abubakari Kunenge, ametoa rai kwa wazazi na walezi kuhakikisha watoto wao waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mwaka 2024 wanakwenda shule bila vikwazo.
Aidha a...
Posted on: December 1st, 2023
Waziriwa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa - TAMISEMI Mohamed Mchengerwa amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo na Mtendaji Mkuu wa Mtandao wa Barabara za Vijijini na Mijini - TAR...