Posted on: June 22nd, 2023
Katibu Tawala mkoa wa Pwani Rashid Mchata amewataka viongozi wa Halmashauri zote za mkoa huo kuongeza kasi ya usimamizi na ujenzi wa vyumba vya madarasa unaotekelezwa kupitia mradi wa BOOST.
...
Posted on: June 20th, 2023
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge amewataka Watendaji wa Halmashauri zote za mkoa huo kuongeza kasi ya ukusanyaji wa mapato ili kuisaidia serikali kutekeleza majukumu yake.
Kunenge ametoa agi...
Posted on: June 20th, 2023
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge, amewataka viongozi wote wa Halmashauri za mkoa huo, kuainisha sekta zinazohitaji watumishi na idadi yake ili kuondokana na changamoto za ukamilishaji wa miradi...