Posted on: June 1st, 2020
Serikali Mkoani Pwani imeeleza kuwa itayafutia umiliki mashamba makubwa ambayo hayajaendelezwa na kuyagawa kwa wakulima wanaolima zao la mkonge ili kufufua zao hilo.
Kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa...
Posted on: May 31st, 2020
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mh. Mhandisi Evarist Ndikilo amezindua ugawaji wa Vitambulisho vya wafanyabiashara wadogo awamu ya pili. ambapo uzinduzi huo ulifanyika Mei 30 katika ukumbi wa mikutano wa ...
Posted on: May 29th, 2020
Hayo yamebainishwa Me i29 2020 wakati wa baraza la Madiwani wa Halmashauri hiyo lililofanyika kujadili hoja za taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa Mwaka wa fedha 2018/1...