Posted on: March 16th, 2025
Msemaji Mkuu wa Serikali na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa, amepongeza Mkoa wa Pwani kwa mafanikio makubwa katika sekta ya viwanda chini ya uongozi wa Mkuu...
Posted on: March 16th, 2025
Katibu Tawala wa Mkoa wa Pwani na Skauti Mkuu wa Tanzania, Rashid Mchatta, amewapongeza wananchi wa Kijiji cha Mgawa, Wilaya ya Mkuranga, kwa mchango wao mkubwa katika ujenzi wa shule ya msingi katika...
Posted on: March 16th, 2025
Mkuu wa mkoa wa Pwani Abubakar Kunenge amewaelekeza watumishi wa umma kujituma pasipo kuchoka ili kufanikisha azma ya Serikali kuwaletea wananchi maendeleo.
Kunenge ametoa maelekezo hayo kwa nyakat...