Posted on: February 26th, 2025
Tume ya Utumishi wa Mahakama imetoa mafunzo kwa wajumbe wa Kamati za Maadili ya Mahakama ngazi ya mkoa na wilaya katika Mkoa wa Pwani. Mafunzo haya yamelenga kuwajengea uwezo, kuongeza uelewa na ujuzi...
Posted on: February 24th, 2025
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhe. Abubakar Kunenge, leo Februari ,2025 amezindua rasmi Kampeni ya Kitaifa ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (Samia Legal Aid) katika viwanja vya Maili Moja, Wilaya ya...
Posted on: February 23rd, 2025
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge, amepongeza juhudi za Rais Samia Suluhu Hassan katika kuleta maendeleo mkoani humo, hususan katika sekta za nishati, elimu, na maji.
Akizungumza katika mbio ...