Posted on: February 1st, 2025
Huru ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imewahimiza wananchi wa Mkoa wa Pwani kushiriki kikamilifu katika zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura litakaloanza Februari 13 hadi 19 mwaka huu. Wi...
Posted on: January 30th, 2025
Mkoa wa Pwani ni miongoni mwa mikoa 26 inayotekeleza Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini (TASAF), ukilenga kuboresha maisha ya kaya zenye uhitaji kwa kuwapatia ruzuku na fursa za ajira za muda.
...
Posted on: January 29th, 2025
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhe. Abubakar Kunenge, leo ameongoza Mkutano wa Tume ya Rais ya Maboresho ya Kodi uliofanyika katika ofisi zake.
Mkutano huo ulihudhuriwa na Mwenyekiti wa Tume hiyo, Balozi M...