Posted on: November 17th, 2022
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa Prof. Riziki shemdoe amezielekeza halmashauri zote nchini kuwekeza kwenye miradi yao ili iwasaidie kuongeza Mapato ya ndani kuwa endelevu...
Posted on: November 16th, 2022
Mkoa wa Pwani umeendelea na mikakati ya kuhakikisha wafanyabiashara na wenye viwanda wanazalisha bidhaa bora na zenye viwango.
Hayo yamesemwa Mjini Kibaha na Katibu Tawala Msaidizi Sehemu ya Viwand...
Posted on: November 11th, 2022
Mkoa wa Pwani umetekeleza maagizo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ya kusafisha Bonde la Mto Ruvu ili kuwezesha upatikanaji wa maji kwa matumizi ya binadamu.
Hayo...