Posted on: January 25th, 2024
Mhe Salvador Valdes Mesa Makamu wa Rais wa Cuba January 24, 2024 ametembelea kiwanda cha Viwadudu Tanzania Biotech Products Ltd kilichopo Kibaha
Akimkaribisha Mkoani Pwani Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe...
Posted on: January 24th, 2024
MKuu wa Mkoa wa Pwani Abubakar Kunenge,amekutana na wananchi wa Wilayani Bagamoyo kwa ajili ya kusikiliza kero za wananchi hususani migogoro ya ardhi.
Kunenge,amefika Wilayani Bagamoyo ...
Posted on: January 16th, 2024
Katibu Tawala Mkoa wa Pwai Rashid Mchatta amewaelekeza watumishi wote katika taasisi za umma mkoani humo kuhakikisha kuwa wanaainisha majukumu yao ya kazi kupitia mfumo wa PEPMIS kabla ya kufungwa Jan...